Related image
1]-Kama hustahimili mzunguuko wa tatu ambao labda nimrefu lakini yeye haridhiki mpaka apige bao la tatu basi msaidie kwa kumpa mikono au mdomo na utakapohisi kuwa anakaribia jirushe au jigeuze ili akuingilie ukeni wakati bado uko "tayari" hali itakayokufanya uepuke maumivu kwani hatokupeleka mwendo mreeeefu nakusababisha maumivu 

2] mkao/mtindo mnaotumia kufanya mapenzi, kumbuka kuna mikao/mitindo mingine husababisha maumivu kwa mwanamke lakini utamu kwa mwanaume, hivyo unapaswa kutambua mikao gani inawafaa wote wawili au kubadili kila baada ya muda fulani kuliko kushupalia mkao.mtindo mmoja mwanzo mpaka mwisho.....hasa kama mkao huo ndio unakusababishia Discomfort.
 
 


3] mpenzi wako anakwenda mwendo mrefu zaidi hali inayoweza kusababisha mafuta ya Condom kukauka, ute wako kidogo kukauka na uke kuwa mkavu bila yeye kujua....kwa kawaida ukitumia Condom kwa zaidi ya dakika 15 au pale unapohisi ukavu unapaswa kubadilisha na kuvaa mpya.Unajua baadhi ya wanaume wanaongeza "mwendo" kutokana na mzunguuko, mfano ikiwa mzunguuko wa kwanza ulimalizika haraka labda ndani ya Dk 10, mzunguuko wa pili unaweza kumchukua Dk30, Mzunguuko wa tatu ukaenda Dk45 mpaka saa na kuendelea. 
 

4] mnapofikia mzunguko wa tatu, vilevile inawezekana huwa hauna ute wa kutosha (kwa baadhi ya wanawake mzunguuko wa 3 huitaji kilainisho cha ziada kama mate au Kay Jel) hali inayoweza kukusababishia "sore" ukeni na hivyo kuhisi maumivu pale unapoingiliwa.



Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome